|
Mpango mzima ulianzia kwenye P.A |
ANGALIA KIPANDE HIKI CHA VIDEO,WASAFI WALIPOINGIA STEJINI
|
Watu wangu wa masasi walikuwa na mzuka sana... |
|
Securty walikuwa na kazi ya ziada sana,kuwazuia watu kutokupanda stejini
coz kila Fans alitakakuimba,kucheza,kupiga picha na mimi kwa wakati mmoja.
SINA LA KUSEMA,JIONEE MWENYE VIDEO HII KISHA UNIAMBIE WEWE... |
JIONEE JINSI SECURTY ALIVYONUSULIKA KUPIGWA NA FANS,BAADA YA KUMZUIA HASIPANDE STEJINI......
|
Mzuka umeishapanda natamani nitoe nguozote... |
|
Jamani,sijui huyu dada alitaka kufanya nini mmmmh! |
|
Ilinibidi nitumie nguvu za ziada,kujitoa kwenye mikono ya Mrembo huyu |
|
Ilibidi Polisi waingilie kati na kuwasaidia security
baada ya kuonesha kuzidiwa nguvu na Fans... |
|
Baada ya show.....hapa niko hoi kinoma |
|
Namshukuru sana Mzee Mustapha,Mkurugenzi wa Emirates Hall
kwa kusababisha Wasafiii kufanikisha show hiyo... |
mmmh ulikua na kazi ya ziada...shoo kama hz inabidi uanza kwanza na gym!!!
ReplyDelete