Recent Comments

ARSENAL VS BAYERN MUNICH FEB 2013...!


ARSENAL 1 - 3 BAYERN MUNICH
Magoli ya Bayern yalitiwa Kimiani na Mshambuliaji wake Matata Klose
 Dakika ya 7 ya Mchezo Huo.
Muller akaiandikia Goli la Pili Dakika ya 21...Hali ikizidi kuwa tete
kwa upande wa Arsenal,Podolski
akaiandikia Arsenal Goli la kwanza Dakika ya 57'....Hali kuimarika lakini
 dakika ya 77 Kiungo wa Bayern
Mandzuckic akaifungia bao la 3 na kuiweka Arsenal kwenye hati hati
ya kutolewa kwenye Michuano
ya Ligi ya Mabingwa Barani Ulaya...!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment