Recent Comments

LEO NDO LEO PALE MAISHA CLUB...!!

ILE SIKU AMBAYO MNASUBIRIA,SASA IMEWADIA....!!
TUKUTANE MAISHA CLUB,PALE MATAA YANAPO WAKAGA
WAKAGA.....HAPA KATI WITH PRESIDENT HIMSELF DIAMOND
PLATNUMZ, RAIS WA WASAFI......KUFANIKISHA MPANGO
MZIMA........NA PRINCE BROTHERMAN DULLY SYKES ,
MWANA F.A,THE ONE N ONLY DIVA VANESSA MDEE
BILA KUMSAHAU MLENGWA KIJANA TOKA KIGOMA
I CALL HIM OMMY....BUT U CAN CALL HIM OMMY DIMPOZ...MR
POZI KWA POZI....SUPER HANDSOME,AKITAMBULISHA MZIGO
WAKE MPYA WA ME & U...VIDEO KALI ALIYOFANYIA NCHINI KENYA.
USISUBIRI KUADISIWA NJOO UJIONE MWENYEWE....MLANGONI
KWA KIINGILIO CHA 10,000/=TSH HII SI YA KUKOSA...!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment