Recent Comments

MATOKEO YA MECHI YA JANA....CHELSEA VS BRENTFORD


Wachezaji wa chelsea wakishangilia moja ya magoli yao walioshinda jana ...
Magoli hayo ya chelsea yalifungwa na Kiungo wake matata Juan Matta(54)
Bahada ya pilika Pilika Winga Machachari kinda Oscar akazamisha bao la
pili(68) Bahada ya Mechi kuwa ya kukata na shoka kiungo mkongwe
Frank lampard akazamisha bao la tatu kwenye dakika ya(71) na mwisho
wa yote the only legendary wa chelsea John Terry akaifungia goli matata
kwa Kichwa dakika ya(81)........wakiwaacha Brentford patupu...!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment