Recent Comments

NIGERIA WATWAA KOMBE LA NATAIFA YA AFRIKA 2013...!!

KIKOSI CHA SUPER EAGLES  KILICHOTWAA UBINGWA
WA MATAIFA YA AFRIKA MWAKA 2013 BAADA YA
KUIFUNGA BUKINAFASO GOLI 1 KWA BILA...........
NIGERIA ILIYOKUWA IKIONGOZWA NA KAPTENI WAKE
YOBO IMETWA UBINGWA HUO KWENYE ARDHI YA AFRIKA YA KUSINI

PONGEZI KWA KIKOSI KIZIMA CHA SUPER EAGLES...!
Wachezaji wa Nigeria wakishangilia Moja ya Magoli kwenye Michuano
Ya Mataifa ya Afrika 2013,yaliyofanyika Nchini S.A...!!
KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA...

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment