Amber Rose na mchumba wake Wiz Khalifa sasa ni wazazi wanaojivunia kwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume.Sebastian Taylor Thomaz (yes, ikiwa na a z mwisho) amezaliwa siku ya jana alhamis mchana Mapema siku hiyo ya jana a proud papa Wiz Khalifa alipost picha akiwa amevaa posted a picture wearing scrubs na face mask na maelezo yaliyokuwa yakisema "daddy time." wakati wa baba mida ya saa nane mchana akipost, "Happy Birthday Sebastian "The Bash" Taylor Thomaz!!! Everyone welcome this perfect young man into the world"mara ya mwisho wawili hao. Amber na Wiz, walionekana katika tuzo za grammy, wikii mbili zilizopita, huku rose akionekana na tumbo lake kuuuubwa katika tight dress nyeusi
0 comments:
Post a Comment