Muimbaji Don Omar, mzee wa Danza kuduro, anashtakiwa kwa kuingia katika eneo
la mtu bila ruhusa ikiwa ni pamoja na kutumia yatch kwa kurekodia mziki wake huo
bila ruhusa ya mmiliki wa yatch hiyo......
yatch hiyo inayozungumziwa inaitwa Le Reve, ambayo inaonekana katika dakika ya 2:15
ya video hiyo, ambapo inasemekana aliwaingiza watoto wazuri katika yatch hiyo iliyokuwa
imesimama na kurekodi nao..katika dakika hizo ukiangalia vizuri utaona watoto wazuri
wakitoka kwenye boat hiyo na kumfata Don Omar ambae alikua anapita na kuondoka nae.
kutoka katika mashtaka hayo, hakuna mtu alieomba ruhusa yoyote ya kutumia wala kushoot
kwenye yatch hiyo.
mmiliki wa yatch hiyo, kampuni ya kireno, inamshtaki kwa kuingia eneo husika bila ruhusa
na kuichafua kampuni hiyo kwa kuwahusisha na video hiyo ya kihuni
kampuni hiyo, inamshitaki, Don Omar, record company yake na kila mmoja aliehusika
katika utengenezaji wa video hiyo..wakidai mpunga mnene
msemaji wa mwanamziki huyo ameiambia TMZ kuwa Don amekanusha kuhusika chochote
katika location za vido hiyo na kusema kampuni iliyorikiod ndio inayohusika na kutafuta
location pamojana kukodisha yatch
|
0 comments:
Post a Comment