Tarehe 19 mwezi wa 3 .....nilikuwa location kwenye kichupa cha ndugu yangu na kaka yangu kutoka manzese MADEE.... Kilichofanyika maeneo ya Sinza Mori....President mwenyewe nilikuwepo kushow love na support na wanamuziki Nguli wa Bongo Flavour walikuwepo kushow love....Kichupa kimesimamiwa na Director Mkali wa Tanzania, Afrika Masharika na Kati The Bigdaddy ADAM JUMA na Production nzima ya NEXTLEVEL.... Kaa Tayari kushuudia Mipangalio mizuri ya Video Kali na yenye kila aina ya udambwi udambwi ndani yake...Soon kuwa Hewani...!! |
0 comments:
Post a Comment