Najua wengi wenu mlikuwa hamjui, Bhitz Group ndio waandaaji wa REDDS MIss Dar Indian Ocean 2013. itakua ni event ya kwanza kufanyika katika mchakato wa kumsaka Miss Tanzania mwaka huu, itakayofanyika tarehe 30 april 2013 makumbusho ya taifa karibu na IFM
0 comments:
Post a Comment