Recent Comments

LICHA YA MVUA KUBWA KUNYESHA WAKATI DIAMOND AKITUMBUIZA.....WATU WAKUBALI KULEWA HUKU WAKINYESHEWA

Napenda kumshukuru mungu kwa siku ya jana.....Mjini Morogoro..
Tulienda salama na kurudi salama.....Pia napenda
mashabiki waliojitokeza kwa wingi kuja kuangalia
show......Kwa ujumla napenda kuwashukuru wote kwa
pamoja wakazi wa morogoro....
Licha ya mvua kubwa kunyesha bila kuwa na
dalili za kukatika.....watu walichachama
na kujitoa ufahamu na kujitupa katikati ......mtoto wa kimanyema na
team yangu nzima ya wasafi
tukaanza kukinukisha kama kawaida....
afe kipa afe beki lakini ushindi lazima mvuani.......ni mapenzi ya
 dhati waliyokuwa nayo kwangu....

Zifuatazo ni picha kadhaa wananchi wakilewa kabla
na baada ya mvua kunyesha.....



Hali ya hewa ilikuwa shwari majira ya alasiri.....
lakini muda mfupi baadae mambo yakabadilika.....









Mvua ilipoanza kunyesha.....si ndo mashetani
ya kimanyema yakapanda.......
kunipa mizuka zaidi ya kufanya vitu hatari zaidi stejini....
Tuendelee Ama Tusiendele.....??? Majibu yao ndo
yakanipa furaha na amasa zaidi....
ni kuanza kuwalewesha Mvuani Tu....Mizuka Imepanda.....ajajajaja....!!




Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. jana me mwenyew nilikuwa mmoja wa watu ambao 2linyeshewa mvua, big up bro nimekuelewa jana.

    ReplyDelete