Leo hii kupitia kipindi cha top 20 cha Clouds Fm,
msanii mpya Vanessa Mdee amekubali kupokea request nyingi
kutoka kwa wasanii wakimtaka kufanya nao kolabo, na
katika request alizopata tangu kutoa ngoma yake
inayofanya vizuri "closer" hazipungui 10 yaani ni zaidi ya 10
"aaam, unajua watu wanapenda vitu vipya vitu tofauti,
so namshukuru mungu nimepata ofa, yah kwangu mimi
its an offer, when mtu anataka kukuweka kwenye
chorus yake, cause mimi mwenyewe nimetoka kwenye
you know pamoja na kusaidiwa na chorus ya AY
na Ommy, so i understand how beautiful it is kuombwa
kufanya kolabo nahisi zimekuwa nyingi, namshukuru
mungu kwamba watu wameanza kuelewa kipaji changu,
na kuweza kunikubali mimi kama msanii, kama labda
may be ten, zaidi ya kumi labda, lakini yeah
hazipungui kumi" amesema Mdee
|
0 comments:
Post a Comment