Recent Comments

UK TOUR:PICHA 3 ZIKIMUONESHA DIAMOND KUFURAHIA MANDHARI YA UINGEREZA

Moja kati ya Picha ya Diamond aliyoweka kwenye mtandao
wa Instangram alfajiri ya leo
akifurahi baada ya Kununua Dhahabu yenye thamani kubwa ingawa
akuiweka wazi thamani ya vito hivyo.....!!
Unataka kujua zaidi juu ya Diamond Usikose kupitia
Blog yako yaKijanja kila siku kupata habari mbali mbali
Hii ni Picha nyingine ikimuonesha majira ya Mchana
baada ya kutoka Gym na kujiweka
nadhifu kama kawaida yake na tayari kwa
mizunguko ya hapa na pale....!!
ndani ya Jiji La Malkia Elizabeth......
Hii ni picha nyingine ambayo Diamond Platnumz alishare
 na mashabiki zake kupiti mtandao wake
wa Instangram akiwa mwenye furaha pamoja na
dancers wake from left ni Dumi Utamu n kushoto
kwake ni Moses Iyobo......wakifurahi jambo kwa Pamoja....?!
Unataka kujua Mengi zaidi....? Follow Diamond Platnumz in Instangram
by DiamondPlanumz,Twitter by Diamondplatnumz & Facebook By Diamond Platnumz ..
u can get connected to his Fan Page
By Diamond Platnumz....!!
U Know what tym is It.....ni mwendo wa Digital tu.......!!

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

1 comments:

  1. Vaa nguo huko kwa watu wewe!!!!ebu muone watakuogopa wazanie huko kinoma zaidi kumbe wala mtoto wa watu hata bifu upendi,hongera zako kwa kuwa mamtoni baba.

    ReplyDelete