Icheki hapa official cover photo ya nyimbo ya msanii steve r'n'b anaetamba na nyimbo yake ya jambo jambo ... kwa sasa anakuja na kibao kingine kikali ambacho amemshirikisha Mr Blue kinachoenda kwa jina la 'HUYU DEMU' ambae hivi karibuni ataiachia nyimbo hiyo.... Mashabiki wa Steve subirini kitu kizuri toka kwake kaeni mkao wa kula au vp bhana.....basi sawa....!!
0 comments:
Post a Comment