Hii imetokea nchini Nigeria siku ya jumatano baada ya mama mmoja kujifungua mtoto wa namna hiii.... Kwa Mujibu wa Daktari aliyemsaidia mama huyo kujifungua anasema'' Alifika salama hosptali na kupewa tiba zote kabla ajapatwa na uchungu lakini baada ya kujifungua mtoto alitokea wa namna hiii..... Aliendelea kusema ''Binafsi maisha yangu ya udaktari wa uzazi sijawahi ona kitu kama hiki ni mtoto amezaliwa mwenye umbo la binadamu chini lakini juu ana sura inayo mfanana na nyani.....maajabu ambayo sikutegemea kuyaona kwenye maisha yangu,kweli mungu anatisha jamani...
Mtoto huyo aliezaliwa akiwa na kilo 4 akukaa sana duniani na muda ule ule aliozaliwa ulipopita alifariki dunia.......Maajabu ya mwenyezi Mungu haya...
Tunapaswa kumuogopa sana Mwenyezi Mungu na yatupasa kumuheshimu sana Mungu na yatupasa kumshukuru mungu kila saaaa dakika na wakati.asante kwa tarifa hii
its rare yes but it has been seen before ,this what we call encephally in medicine.
ReplyDeleteTunapaswa kumuogopa sana Mwenyezi Mungu na yatupasa kumuheshimu sana Mungu na yatupasa kumshukuru mungu kila saaaa dakika na wakati.asante kwa tarifa hii
ReplyDelete