Recent Comments

SIKILIZA HEKA HEKA YA CLOUDS FM...UGOMVI WA KUAZIMANA CD WASABABISHA KIFO MWANANYAMALA

Hekaheka ni sehemu ya vinavyokamilisha show ya Leo 
Tena on @CloudsFM ambapo kwenye hekaheka, kinasa 
sauti chake hupita kwenye mitaa mbalimbali Tanzania kukusanya
 yale matukio ya ndani kabisa ambayo mara nyingi huwa hayatolewi
 kama habari…. hekaheka ya leo July 8 2013 ni jinsi ugomvi wa cd 
kwenye nyumba ya kupanga ulivyosababisha kifo cha mtoto...
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment