Nikizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa nikiwa na Mzee Gurumo pembeni... |
Mzee Gurumo akionesha Ufunguo juu baada ya kumkabidhi Gari kama zawadi yangu kwake.... |
Furaha iliyoje ndani ya Moyo wangu kupewa baraka na Mzee wangu..... |
Sauti yake tu.....Iliwafanya wageni wote kuimba nae muda huu.... |
Tukelekea Nje kwenda kumkabidhi Mzee Gurumo mkoko wake..... |
Pembeni Mwangu ndio Gari niliyomchukulia Mzee Gurumo..... |
Safi sana DIAMOND kuwa na moyo huohuo kwani ni furaha na ni historia kwenye fani hii ya sanaa ya MUZIKI
ReplyDeleteya wewe ndio msanii sasa
ReplyDeleteKwa style hii utaendelea kuwa juu tu.....wachache wenye moyo kama wako.
ReplyDeletebigup, people will remember your concern
ReplyDeletemay Allah bless you with your family
You are a star and you will always be...May God bless you abundantly for such heart to Mzee Gurumo.
ReplyDeleteBaraka tele kutoka Kwa mwenyezi Mungu zikufikie Diamond.Umetambua mchango wa Ngurumo katika tasinia ya filam.Big up. Na uwe mfano wa kuingwa,Diamond ni heshima tosha ulioinyesha kwa wazazi wako wa muziki.Nakuombea ulipotoa Mungu akaongezeeeeee zaidi ya ulichotoa.Akurinde na akupe maisha marefu .na uwe msaada kwa jamiiiiii.watu wakae wakijua kutoa ni moyo si utajili,Diamond umeonyesha moyo wa upendo.
ReplyDeleteKEEP IT UP BRO,LET THEM SAY ALL THEY WANT BUT BLESSINGS FROM THE BOTTOM OF THE HEART OF AN ELDER MAN TO YOU LIGHTEN UP YOUR WAY TO YOUR DESTINY,JUST FOR HIM ONLY TO SAY "UBARIKIWE MWANANGU,TU INATOSHA" LOL DIAMOND LOL!
ReplyDeleteHONGERA SANA
ReplyDeleteBig up, May God
ReplyDeleteI really love my star Diamond bigup bro roho yako safi kabisa
ReplyDeletekeep it up
ReplyDeletewewe ni star wa kuigwa, mungu akuzidishie, uzidi kushine dunia nzima amin
ReplyDeleteWATANZANI TUSIWE NA ILE TABIA YA KUSAIDIANA WAKATI WA KUFA, TUENESHE UPENDO WAKATI BADO TUKO HAI..... SIO M2 ANAPOKUFA THEN UNAMSAIDIA ... KIMSINGI HII HAIMSAIDII KUBWA WATANUFAIKA WALE WANA KAMATI YA MAZISHI
ReplyDeleteBE BLESSED
Dai dai daimond kwasasa umenishawishi kusema wewe ndo star tz kwa maana mambo unayoyafanya n balaaa kula bata ndugu msoto n hatari, mm n msanii maigizo ninakundi langu nasota kutafuta pesa kwa kukopeshwa ili ntengeneze filamu yangu ya kwanza nakula msoto nazunguka miguu inauma cjakata tamaa naamin mwisho wa msoto ndo mwanzo wa bata hongera sana mwanzoni nlikuwa ckukubali sana kwa vigezo vyangu ila sasa nakukubali kwa maana una ndoto za kimataifa na unapigana kuzitimza nakukubali sana, kaka location za video yako mpya n nmoma kaka kula bata mm naburuza mguu cku moja tukutane vzr.
ReplyDelete