Ukiangalia picha hii unaweza nambia ni nani huyu....? au ni mwanamuziki gani....? Lakini sitaki kukupa wakati mgumu sana ebu kwa Pamoja tumwambie Happy Birthday Fid Q a.k.a Ngosha the Swagga Don toka Mwanza...... Mimi Pamoja na Team yangu nzima ya wasafi na wasomaji wa Blogsite hii inakutakia heri na baraka tele kwenye maisha yako,siku ya leo ikawe siku ya amani na upendo utawale ndani ya moyo wako mema ya kazi yako yakapate kutamalaki usoni mwako..... HAPPY BIRTHDAY TENA MY BROTHER FID Q... |
0 comments:
Post a Comment