Huyu ni member wa zamani wa kundi linalofanya vizuri kwa muziki wa pop east africa namaanisha nazungumzia Camp mulla,lakini hapa namzungumzia Karun member aliyejitoa kwenye kundi ilo yapata miezi miwili sasa kwa sababu ambazo awakuziweka wazi lakini mpekuzi wa Thisisdiamond.com inasemekana ni kutokana na kashfa ya picha zake za utupu kuzaga mitandaoni.... Lakini hapa namwangazia kwenye masuala yake binafsi,siku ya jana akiwa amejizatiti kuja kama solo artist ilikuwas party yake ya kusikiliza ngoma yake mpya ambayo hivi karibuni tutaanza kuiskiliza kwenye mitandao na hata redioni,lakini kwa jambo la kheri kabisa sherehe hii ilipambwa zaidi pale Rais wa kenya Uhuru Kenyatta alipoudhuria kusikilizwa kwa nyimbo ya msanii huyu ambae kiasi chake alikuwa nguzo kwenye kundi la Camp Mula.....
Party hii iliuzuliwa na viongozi wengine wa serikalini pamoja na watu wa karibu wa Rais Uhuru Kenyatta jijini Nairobi.....
Baada ya Party Hiyo Miss Karun alitweet kwenye mtandao wake wa Twitter na kuonesha juu ya furaha yake baada ya kuimba na kusikilizwa kwa kibao chake mbele ya Rais wa Nchi yake.....
Vema sana... Blogger ungejarbu kuangalia matumizi sahihi ya "L" na "R" kwa mfano kwenye tittle ya hii hapari.."Yauzuliwa" badala ya yahudhuriwa..otherwise u gud...#teamdiamond
yuko juuuuuuu pongezi nyingi kwake
ReplyDeleteVema sana...
ReplyDeleteBlogger ungejarbu kuangalia matumizi sahihi ya "L" na "R" kwa mfano kwenye tittle ya hii hapari.."Yauzuliwa" badala ya yahudhuriwa..otherwise u gud...#teamdiamond