Katika kuweka ujio wa Album yake moto moto mcheza filamu na mwanamuziki Miley Cyrus amemuongeza Msanii Nguli wa miondoko ya Pop nchini Marekani Ludacris na Mwanamuziki anaefanya vizuri kwenye game muda huu,Big sean kwenye album yake mpya. Siku kadhaa nyuma Miley Cyrus aliweka bayana kwenye ujio wake na kumjumuisha mwanadada Ciara na Mwanadada Ciara na mwanamuziki Lil wayne baada ya watu hao leo hii amewaongeza wasanii hawa wengine....
Kikubwa cha Album hii bado mashabiki wa milionea huyu mdogo kuwa ''JE anataka Album yake kuwa na ujumbe gani au Ladha gani....? bado maswali haya yametawala kwenye vichwa vya watu wengi nchi marekani na dunia kote wanaomfatilia mwanamuziki huyu ambae anafanya vizuri zaidi kwa sasa baada ya kuweka shuguli za filamu pembeni na kukazaa kwenye muziki....
Haya sasa mimi na wewe tukae tusubiri tuone kitakchojiri baada ya Album hii kukamilika mwishoni mwa mwezi wa tisa chini ya Universal Production...
Kwa habari moto moto za michezo,burudani,kitaifa na makala za ndani na nje ya nchi usikosee kupitia kwenye Blogsite hii kupata vitu moto moto...
0 comments:
Post a Comment