Kuanzia saa 8 mchana tega sikio lako kwenye redio station yako ya Clouds Fm,atakuwepo Mwana Hip Hop Chid Benz toka Lafamilia akitambulisha ujio wake mpya na Ngoma yake mpya....Unataka kujua kajipangaje jamaa huyu....? Je ngoma yake itaenda kwa jina gani...? kazungumzia nini umo ndani....? Basi tune in 88.5 Clouds Fm redio ya watu kujua kiundani kwenye XXL,ukiwa na presenter wako nguli B12,Adam Mchomvu & Dj Fetty wakisababisha...... Hii si ya kukosa....!!
0 comments:
Post a Comment