Muda ambao wewe na mimi tunausubiria, naona masaa yanajongea taratibu...... Unajua nini.......??? Ushajua bhana........Mwenye kuridhika na kidogo akipatacho huyo ndiye #Mynumberone........ Hata kama ukimfumania mpenzi wako na ukamsamehe kuendelea na mapenzi yenu basi huyo ndiye #Mynumberone....... Vigezo vingi naweza orodhesha.... WEWE JE.....? Yupi ni Number One wako....??
Hadi sasa Umepata Kadi yako......?? Masaa 4 yamesalia hadi sasa kufikia kilele cha utambulizi wa MyNumberone....... Video Launching at Serena Hotel,Dar Es Salaam. Kuanzia 1900 hadi 2100......Aina Kiingilio ni kwa waalikwa Tu.
Epuka ubadhilifu wowote kuuziwa Ticket au kuanganywa kwa chochote, Party ya Launching kadi ni kwa waalikwa tu na Haziuzwi.
Hyo video bado 2 ujaiachia? #NambaOne
ReplyDelete