Recent Comments

PICHA:RAY KIGOSI SI AKATAKA AFUNDISHWE HOW TO DO NGOLOLO..!!!


Hii ilikuwa juzi baada ya kufanya unyama wangu 
kwenye show ya Kili music tour Leaders,wakati nalejea
 nyumbani ilinibidi nipite nyumbani kwa Kaka angu,ndugu yangu..Baba ya bongo movies,Ray kigosi kumsalimia kidogo,ile nafika tu nikamkuta ana hangaika kudance
Ngololo,sijui na yeye anataka Ipad..ha ah ha ....!!!

Hatuendi hivyo baba...utacheza kiduku bure..
Tunafanyaga hivi.........


Usiku mwema..hii michezo huiwezi tuachie sisi....

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

5 comments:

  1. teh teh teh kumbe naye yumo mwambie akuache ulale

    ReplyDelete
  2. WeweDiamond unanifurahisha sana hasa pale umejikunja nakuona kabisa ngororo imepamba moto Ray kararia upande mmoja lakini anajitahidi ili aweze ngororo endelea kumpa mazoezi

    ReplyDelete
  3. diamond! umeacha mbavu zangu zikiniuma mbaya sana

    ReplyDelete