Mda mwingi nipatapo nafasi huwa ninajaribu kufanya vitu
tofauti tofauti vinavyonipa
fursa ya kujifunza pia,hapa nilijaribu
kuingilia fani ya Kisula,man behind camera (WCB),chek out,do you
think i can be a good photographer?
 |
Moze iyobo |
 |
Qboy,Rama,Moze iyobo(WCB) |
 |
Mama yangu kipenzi,hapa alikuwa akinisaidia kushusha mizigo kwenye Gari |
 |
Ha ha ha kupiga picha kazi kweli kweli duuh!!! |
 |
Rommy Jones |
 |
zanzibar beach resort-Seat room
Nilipokuwa Zanzibar,wenyeji wangu walinipeleka kwenye hoteli hii
is a good place for real |
 |
Hapa ni wakati naenda Zanzibar,Dar esalaam kwa juu |
 |
Mpiga picha time hii naye akapigwa picha,Kisula(WCB) |
 |
Bed room(zanzibar beach resort) |
 |
Wash room(zanzibar beach resort) |
 |
Qboy(WCB) |
thats good!
ReplyDeletewaz guda.......
ReplyDeletenot bad at all.. #wcb
ReplyDeleteGud idea
ReplyDeleteZIKO POA SANA
ReplyDelete