Recent Comments

MUSIC TOURS NISIZOZISAHAU KWA MWAKA 2013

                                                                MPANDA                                                                                                                                                   
Ni moja ya matukio ambayo kila nikiyatazama
 kwenye maktaba yangu ama nikiyakumbuka.
.najiskia ni kias

 gani nina deni kubwa la kutowaangusha mashabiki 
wangu,ni mapenzi ya hali ya juu,me ni nani watu waache kazi zao
 waandamane kunitazama nikipita mtaani???nawapenda
 sana watu wangu and always i will do the best for you



























                                           CONGO                                                


























Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. salute diamond kazi poah kwamichezo yakulingalinga utawakamata...................

    ReplyDelete
  2. Uko juu president kaza msuli tusonge mbele sasa hv usiangalie nyuma kbs.

    ReplyDelete