Jana ilikuwa ni siku mhimu kabisa kwa dada
yangu mpenzi,Halima Kimwana,ni siku aliyotimiza miaka
kadhaa tangu azaliwe..Party yake ilifanyika maeneo ya Business Victoria na mimi
kama Kaka ake na mtu wake wa karibu nikiongozana
na baadhi ya watu wangu wa WCB Qboy msafi
na Kifesi ,na wanamziki wenzangu..
akiwemo Shettah.Nay true boy,Ommy Dimpoz,Chegge na
akiwemo Shettah.Nay true boy,Ommy Dimpoz,Chegge na
wengineo tulijumuika pamoja na invited
waliokuwepo kutoa sapoti kwa dada yetu...
Njiani.........
With Omary Nyembo,Omy Dimpoz.......!!
Qboy na Shettah
Halima Kimwana na Mdogo wake Minaababy......!!!
Dada lao,Queen darleen
Dada yangu mpenzi..Esma
Mc ......!!
Ha ha h ah Dada angu Darleen,hajawahi isha vituko huyu
Mida ya Cake......!!
Hii shughri ilikuwa ikinihusu moja kwa
moja,nisingewea toka pasipo kutoa burudani japo kidogo...
ilikuwa bomba kweli ila nimemuona kama Queen Doreen vile mbona huja mtambulisha kwani yeye si dada yako kipenzi? mhmhhh vibaya hivyo tena ndugu kwa baba ndio ndugu haswa kuliko huko kwa mama
ReplyDeleteNimependa kwa kweli Diamond ubinaadam unao,pia unajichanganya na watu,unasifa nyingi tu nzuri ambazo wengi binaadam wanastahiri kuzifanya,ni mtoaji nameona ulivyotunza pale nimependa hata harima kajisikia vizuri,endeleza moyo wa upendo kama huo,Penny sijamuona hapa kwa nini Diamond simjui Penny Nampenda kwa sababu anajiheshimu na ametulia hata kusikisa wewe ndiyo unamfanya asikike na hata magazeti hilo sishangai ni kwa sababu wewe ni maarufu na star mkubwa sana kwa sasa avumilie tu kutoka magazetini ni kawaida,ila hana skendo mpe hi
ReplyDeletePendeza xana woteeeeeee
ReplyDeleteKweli ww msafi sana na hiyo wcb unaitendea haki
ReplyDelete