Recent Comments

SHUKRANI ZA DHATI KWA MASHABIKI WANGU KWA KUIFANYA NUMBER 1 VIDEO IONGOZE YOUTUBE KWA KUTAZAMWA ZAIDI-2013


Kila siku nitamshukuru Mungu,kwa
 kila hatua ninayoifikia

na zaidi,nalejesha shukrani za dhati kabisa kwa wewe
shabiki yangu wa kweli popote pale Duniani,ambae
 huchoki kuitizama video ya Number one 
na hatimae umeiwezesha kuwa video iliyotazamwa
 zaidi kwenye mtandano wa youtube

                           
 kwa mwaka huu 2013,mpaka sasa ikiwa
 na viewers zaidi ya million moja(1,262,622).
Sapoti yenu ndiyo inayonipa nguvu na moyo,nikiamini nina
 denu kwenu la kutowaangusha kwa
kuzidi kuwaletea kazi nzuri zaidi zitakazo kidhi
mahitaji yenu.Ahsanteni sana
.....!!!!!!
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments: