Kweli inatupasa kumshukuru Mungu kwa kila jambo la heri
na yale yaendayo sivyo ndivyo....
Ni wikii tatu sasa toka Mpigania Uhuru wa Nchini South Afrika,
Mzee Nelson Mandela kulazwa
na hali yake kusemekana kuwa mbaya kutokana na matatizo ya mapafu.....

Lakini Leo Afrika Nzima na Duniani kote kupitia mitandao na vyombo
vya habari ni stori nyingine kabisa
maskioni mwa watu na hususani wananchi wa Nchini humo,hii inatokana
na Mungu kumjalia siku ya
leo tarehe 18.7.2013 kutimiza Miaka 95....
Basi naungana na watu wengine wote Duniani na mashabiki
zangu Dunia nzima kumtakia Siku njema na yenye baraka
kutimiza miaka hiyo na Mungu amsaidie arudie kwenye
Afya yake kama kawaida na kuweza kutoka hospitali....
Pia Blogsite hii inamtakia Maisha Marefu zaidi Mzee Nelson
Mandela na Neema izidi kushamili juu yake....
HAPPY BIRTHDAY TATA MADIBA....

0 comments:
Post a Comment