Recent Comments

SIKU YANGU YA KUZALIWA:SUPRISE NILIYOFANYIWA NA KIPENZI CHANGU PENNIEL

 Kila mtu anaithamini na kuipenda tarehe ya siku 
yake ya kuzaliwa,ni siku ambayo baadhi yetu huifurahia kwa
 mitindo tofauti tofauti kulingamna 

na nafasi aliyonayo mtu husika,lakini hebu
 jiulize how it feels ndani ya hiyo siku mhimu kabisa 
unapofanyiwa kitu kizuri na cha pekee na mtu
 mhimu maishani mwako,inapendeza siyo?hivyo ndivyo
 nilivyojiskia siku ya jana baada ya 
kufanyiwa suprise ya  birthday party
 na kipenzi changu,Penniel pamoja
 na Mama yangu mpenzi,dada yangu Esma,Halima kimwana 
na familia yangu kwa ujumla.
checkout picha zikijieleze zenyewe........
Ilikuwa ni baada ya kutoka kwenye 
uzinduzi wa Coke studio,kufika nyumbani 
Nikapokelewa kwa bashasha na Dada angu Queen Darlin(aliyeshikilia cake)


Dada angu Esma na mmoja wa rafiki wa familia yangu pamoja na Shilole nae alikuwep kusapoti


Baby akanisuprise kwa Kiss mwanana kabisa , like duuuh!!!

Nyakati kaama hizi mamabo ya maakuri kama hivi huwa hayakosekani

My dada,Queen Darlin

Na tuwaache washangae!!!!


Mambo yakahamia chumbani sasa . wooow!!



Kupendwa ndio huku..Mtoto wa bi Sandra mie




We call it love


Picha ya pamoja na family

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

23 comments:

  1. Am soooo fuckin lovin it....!! Mungu awape maisha marefu yenye upendo na amani...

    ReplyDelete
  2. al-masi kweli, brother wangaa, tena kwa sana. akupe maisha marefu mwenyezi mola.

    ReplyDelete
  3. Niceee fanya yako Now kuwapa v2 vzur! wa TZ

    ReplyDelete
  4. Meeeeeeeeeen its great..........love them a lot

    ReplyDelete
  5. Kila la kheri,maisha marefu zaidi..

    ReplyDelete
  6. kila la heri maisha marefu uzidi kuwapa adabu game ya bongo #wasaaaaafiiiiiiiiiiii

    ReplyDelete
  7. https://www.facebook.com/Wilstonejoel
    https://twitter.com/MajangaTz_CEO

    ReplyDelete
  8. kwani kila birth unabadilisha mrembo........JUZI UKO NA WEMA LEO NI PENNIEL

    IO INGINE ATAKUWA NANI..??SIO ISSUE TANGAZA MSIMAMO

    ReplyDelete
  9. whao luvly,romantic and unique..happy belated birthday

    ReplyDelete
  10. Ipo poa bt uyo gal wko cjampenda cz hajapendezesh birthdei kvle..... Kawa km mgeni mualikwa bhn

    ReplyDelete
  11. Nilidhan suprise yenyewe ndoa kumbe hakuna jipya

    ReplyDelete
  12. Penny ni chaguo lako katulia sana huyu binti anajiheshim wanaomuona mshamba acha wamuone mshamba ,wewe angalia heshima yake ,mwanamke mwenye thamani ni yule ambae hana sifa mbaya skendo chafu muhuni,sifa zote hizo mtarajiwa wako anazo,hapo usisikilize la mtu ziba masikio,huoni toka umeanza mahusiano na Penny hata wewe anakufanya uheshimike hongera sana kwa birthday simple lakini imependeza sana,sio hao wanaofanya ufahari na kesho tunasikia skendo chafu,Mwanamke mwema ni yule analinda mme ,mchumba wake,na mpumbavu ndiya anaeharibu kuvunja penzi lake.safi sana Penny pale ulipoulizwa kuhusu Irine Uwoya ulijibu nino moja tu hanihusu na wala siwezi kumjibia Diamond,hapo nilikupa max zote japo sikujui ,na nikakuona wewe ni mwanamke mwema,Diamond muheshimu sana Penny kama anavyokuheshimu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. You are a star diamond.... Asiyekubali mbishi..... Nampenda penny watu wanamtetea wema wakati malaya wa kutupwa. Penda unapopendwa babu weewew mengine unatafuta majanga

      Delete
  13. Ur a really perfect couple, don't listen what people say you just look what you have guys which its a real love and that it's what I can see to you guys..........god bless you and your family........always stay protected .

    ReplyDelete
  14. Najua watasema mengi tafadhali usiskize.penny ana mapenzi ya shari kwako kaka,mtunze see mama wa watoto wako.ukimkosea huyo sidhani kua utajapata mapenzi ya kweli kwengineko.la kwako ni kua alichaguliwa na mungu hata wapande hexing daima atakua wako

    ReplyDelete
  15. I love u guyz ur da best long live vipenzi

    ReplyDelete
  16. HIVI ILE MIMBA YA SPIDO ILIDUMBUKIA CHOONI??ahahahhhhahahahhh ETI NA MTUACHE TULALE! ovyoooooooooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  17. Happy birthday

    Pennt pls nxt tm put on a coloured dress!!

    ReplyDelete
  18. wow, beautiful to have a sweet surprise on your b.day, happy birthday! turning to?

    ReplyDelete
  19. hilo kali sana ila nina ham yaku onana na wewe face to face na kuna ngoma nataka niku uziye

    ReplyDelete