Recent Comments

SPECIAL THANX TO MY FIRST VIDEO VIXEN

Kitu ambacho siku zote siwezi kukisahau katika
harakati na siku za Maisha yangu ni jinsi dada
 wa kwanza nilivyomfata na kumuomba kushoot video na mimi
akasema "Siwezi kushoot Video na Ma undergeound" Dah! Iliniuma saaana... Lakini
 wewe kwa moyo mmoja bila maringo uliamua kunisaidia
 na kukubali kushoot video na mimi na
 hatimaye ikaniweka kwenye Ramani... dah! siku zote huwa
nakushkuru na kukuombea sana
 kwa mwenyezi mungu kwani naamini wewe ni
 mmoja ya watu waliofanya hadi mimi kufika hapa... MyVideo Queen Nenda Kamwambie #BestSongofTheYear2009  BestRnBSongof TheYear2009


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

12 comments:

  1. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  2. Good that you have recognise and appreciated that diamond,few really do that and I think it's the way to go.KEEP THE STAR SHINING.

    ReplyDelete
  3. Diamond nenda KAMWAMBIE huyu binti kuwa ile video kaitendea haki big up kwake.!

    ReplyDelete
  4. Dah we jamaa noma.u ve a good management skills,sikutegemea leo ungekumbuka ya nyuma.Big up bro,keep on teaching others.I know even haters wanajifunza basi tu wabongo wabishi kukubali ukweli.May God keep u strong

    ReplyDelete
  5. Nimeipenda sana kukumbuka ulipotokea ndo krill mzuri. Nimekupendaje Masonic. Its me naysha wa dar

    ReplyDelete
  6. mungu akubariki kaka kwa kukumbuka ulipotoka

    ReplyDelete
  7. Papius: nivizuri kuwa na kumbukumbu nakupa big up.

    ReplyDelete
  8. Wow.. I know that girl, her name is Scholastica.. The beautiful girl from Morogoro town.. I'm not sure if she is still leaving there.. Big up kwake aisee nilikuwa sijajua kama issue ilikuwa kimtindo huo.

    ReplyDelete