Recent Comments

Eid Mubarak

Nishkuru sana kwa Team yangu nzima kwa kuweza kusimamia zoezi langu la Kutoa Sadaka hii ya iddul hidja kama nabii Ibrahim alivyo amrishwa siku kama ya leo.. team yangu iliyo Birundi , Mombasa , Dar_es_salaam, Zanzibar Kigoma, Rwanda na Kadharika... Mwenyez Mungu aendelee kuwalinda ili muweze kunismamia na Kuniongoza vizuri nizidi kuwa Karibu na Wananchi wangu... Ahsanteni! @wcb_wasafi for Evrything   21h
Read more at http://web.stagram.com/n/diamondplatnumz/#eTCehhRj7pZKFxOf.99
 Nishkuru sana kwa Team yangu nzima kwa kuweza
 kusimamia zoezi langu la Kutoa Sadaka hii ya iddul hidja kama
 nabii Ibrahim alivyo amrishwa siku kama
 
ya leo.. team yangu iliyo Birundi , Mombasa , Dar_es_salaam, Zanzibar Kigoma,
 Rwanda na Kadharika... Mwenyez Mungu aendelee kuwalinda
 ili muweze kunismamia na Kuniongoza vizuri nizidi kuwa Karibu na Wananchi wangu... 
Ahsanteni! @wcb_wasafi for Evrything 
Nishkuru sana kwa Team yangu nzima kwa kuweza kusimamia zoezi langu la Kutoa Sadaka hii ya iddul hidja kama nabii Ibrahim alivyo amrishwa siku kama ya leo.. team yangu iliyo Birundi , Mombasa , Dar_es_salaam, Zanzibar Kigoma, Rwanda na Kadharika... Mwenyez Mungu aendelee kuwalinda ili muweze kunismamia na Kuniongoza vizuri nizidi kuwa Karibu na Wananchi wangu... Ahsanteni! @wcb_wasafi for Evrything   21h
Read more at http://web.stagram.com/n/diamondplatnumz/#eTCehhRj7pZKFxOf.99
Nyumbani Tanzania,Anko Salum


Burundi nikiwakilishwa na Mafia mnyama


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

9 comments:

  1. BRO SADAKA HUWA HAITANGAZWI, NOD MAANA HUWA NAKWAMBIA ANGALAU UNGEKUWA NA KADIPLOMA KANGEKUSAIDIA KUWA NA HEKIMA. NIKIANGALIA POST ZAKO ZOTE, ZOTE UNAJIELEZEA WEWE TU....ZOTE NI KUHUSU MAZURI UNAYOENDELEA KUKUTANA NAYO...UTAKUFA MAPEMA KAMA HUKUMBUKI ULIKOTOKA, KULE KWA MTOGOLE.

    ReplyDelete
  2. Hata hujui staa ana behave vp!dah alaf ndio tunakutegemea ebana tunaonekana viraza wote ebu rudi shule kdogo...

    ReplyDelete
  3. Big up bro naamini umeyafanya haya ili iwe funzo kwa wengine ambao waajita waislam halaf wanadharau imani zao!!! Acha na wapuuz wanaokudis kama diploma mali kasomee ww yakutokufatilia ya watu na we mwengine kama unajua kubehave achana na yasokuhusu kitasa kibovu we!!! Big up bro!!

    ReplyDelete
  4. AMINI MWENYEZI MUNGU ANAKWENDA KUKUJAALIA NA KUKUZIDISHIA KIRA RAKHERI KATIKA KAZI ZAKO ZOTE

    ReplyDelete
  5. Hiii ni blog yake yeye, mambo yake anayo ya fanya unayakuta humu, sio yako wala ya yule,.. nyie ndio hamjui kubehave, coz hajawaita, wala kuwagongea milango, ila nyie mmemfuata wenyewe sasa bhave ur self kwanza., dhen kwa nini mnampekua hadi huku, kama mtu humkubali kwa kile kidogo afanyacho muacheni ila still mwamfuatilia, damng, hembu tuishi kwa aman, fanya yako, yeye afanye yake

    Hivyo

    ReplyDelete
  6. dah nimependa mlivyo wajibu hao wanaojifanyaa wanajuaaa kujaji ya watu, mi waga sio mchangiaji ila mmenifurahsha kwa jinsi mlivyowaelewesha. big up nurdin n ally.

    ReplyDelete
  7. Diamond unakubalika sana tu hao wengine wivu ndio unawafanya walopoke.Sisi wapenzi wako tunakukubali kazi zako,hao wanao kudis hawajulikana hata kwa mjumbe wa nyumba kumi.Mungu ndio anayejua wasikujaji we fanya unavyoweza,

    ReplyDelete
  8. Mimi nataka unirushie show uliyofanya malysia kupiti blog yako hao ambao wanakwambia usiandike kitu hawajui maana blog sasa usipojisia wewe mwenyewe na kuandika yanayofanyika nje ya tanzani au show zako nani angekujua,mimi nimejua wewe mkari like page yako nashangaa kuona Burundi unabarika visiwa vya Comoro unakubarika wewe sisi turishie nyimbo show zako na habari zako nzurinzuri ambao wanabishana humu hawajalazimishwa kufungua blog yako na kama wameingia kwenye blog yako wanakukubali.safi sana Nurdin bora umsaidie Diamond kujibu maana aliishawachoka hata kuwajibu ndiyo maana anawakalia kimya watu hawapendi maendeleo ,kila mtu na bahati yake na alivyopangiwa na Mungu binaadam huwezi kuingilia watu zaidi 1 milioni wanamkubari wanaomkataa hata 50 hamfikii mnampunguzia nini acheni hizo

    ReplyDelete