Recent Comments

HIVI NDIVYO BIRTHDAY YANGU ILIVYOKUWA D`MAGE HOTEL USIKU WA JANA.....

Kiukweli ntakua mchoyo wa fadhira endapo sintowashurukuru watu wote waliohudhuria katikaghafla fupi ya kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa iliyofanyika usiku wa jana 02/10/2012 katika hotel ya DEMAGE kinondoni...de Night was Crazy n Amazin , kiukweli nimefurahi sana kiasi kwamba hata sijui niwalipe kitu gani...
Hii ni cake maalum ambayo aliniletea Wema kama moja ya zawadi ya Birthday yangu
Hapa nikiwa na Dada yangu wa hiyari Halima kimwana
Wema na dada yangu Esma wakilishana Cake




All de way from UK Naj pia alikuwepo
Dimpoz kwa Poz, Mboni Masimba na Mecky




Hapa tukiwa na Roho ya Wolper Legraa Dallas

Bhaaaaaaasssssssss....!
Rucky Beby tena...

Joff mnyama pia ndani
Hapa babtale na Naj wakiteta jambo

Team sheta pia Ndani....


Weeeeeeeeeeeeee.........!
Dallas tena......




Hapa wema na Mboni masimba
Kama ulikua haujui hawa ndio vijana wanaoongoza kwa Kuvimba mjini........LOL!








All de way from America Wasafi walikua ndani pia......














DOZEN & SHETTA
Watoto wa ManzeseTIPTOP pia ndani
Watuacheeeeee na Mama yangu mboni ali masimba.......

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

15 comments:

  1. Wema umependeza sana kwa kweli,love u to death... cjutii ww kua 1 of my role models... Mhhhhhhh af kuna mtu cjamuona.. samahani lakini Diamond,nimeuliza tu... nani amenunaaaaa!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Happy birthday. Ushauri kwa Wema. Wema you are a beauty na utazidi kupendeza kama utabadilisha style ya mavazi yako ukavaa kama avaavyo Victoria Beckham. Dresses zake huwa ni midi na anaonekana elegant. Hivyo basi kutokana na na figure nzuri uliyonayo, kwa kweli utapendeza. Hebu jaribu kuvaa hivyo uone muonekano wako utakavyobadilika to the better. Nice to see you with Diamond in a friendly manner.

    ReplyDelete
  3. yan diamond nkikuona na wema nafurah sssaaannnaa. .happy birthday. .live long, inshaallah mungu akuongezee maisha marefu...kisses,

    ReplyDelete
  4. DIAMOND WEMA LOVES YOU DONT TAKE HER FOR GRANTED,LOVE LIKE THIS IS RARE,ONE DAY U WILL WISH FOR IT BUT YOU WONT FIND IT,TO WEMA YOU GO GIRL!KEPP DOIN WHAT YOU DO,THIS IS LINDA FROM KENYA

    ReplyDelete
    Replies
    1. tru dat mumy.. .a wsh diamond cud see dat lov jaman,

      Delete
  5. Mzee this lady love u kuna wimbo unasema wen mumy love anapenda kisawa sawa so plz stop going around mpatie haki yake mtoto wa mwenzio by da way happy birthday to you

    ReplyDelete
  6. Natumai umefurahia sana siku yako ya kuzaliwa nakuombea maisha marefu yenye afya na furaha diamond platinumz presedent wa wasafi

    ReplyDelete
  7. Happy belated birthday. Looking good together ope u guys get bck

    ReplyDelete
  8. Diamond and wema u guys make me smile kila nikiwaona pamoja to be honest mnapendeza sana ,am so hapi 4 both of u.. may u have many more birth days to cum diamond

    ReplyDelete
  9. Any artist that is even surviving right now is a Diamond because things change pretty fast. You're a superstar one day and wake up the next day and you're anonymous. To be successful in any way is beating the odds right now, I think.

    ReplyDelete
  10. i loooooooooooooooooooooooooveeeeeeeeeeeeeeeeeee youuuuuu wema.......cjui watanzania watanionaje nikimrudia>DIAOMOND SPEAKS HIS MIND>>>PAAAH

    ReplyDelete
  11. Diamond mbaya wewe ndio sikuhiyo ukamuona Naj tena ukachanganyikiwa kisa katoka ulaya ukamtongoza.... wewe ndio mchokozi unatafuta kisingizio kuwa Wema ndio anawanaume... mbona yeye hakuoneshei hadharani? wewe huna haya unatongoza wazi wazi mara Joketi mara Naj mara Penny na bado unavumiliwa tu halafu unajidai kuringa..... siyo vizuri all in all you guys rocks together DIAMOND + WEMA = LOVE

    ReplyDelete
  12. nice! but sorry penny hakuwepo au mbona sijamuona kwenye hizo pictures

    ReplyDelete