Recent Comments

PICHA:FUTARI YA LEO HOME SWEET HOME-CHUNGU CHA TANO

Siku ya Leo namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia na
kuzidi kutupa nguvu kwenye mfungo huu
wa Ramadhani.....
Ikiwa Leo ni chungu cha 5,Tukiwa nyumbani

 kama Familia tumeandaliwa
 Futari na mama yetu
Bi Sandrah Sammy nyumbani Sinza....
Ndugu,Jamaa na marafiki wakiwa tumekusanyika kupata
Futari kama fungulia baada ya fungo....
Namshukuru Mungu kwa Chakula hiki kitamu kabisa....

PICHA ZA IFTAR NYUMBANI SINZA...





Uji ukiandaliwa na mama angu kipenzi..





Jikoni wakianda kina dada mahakuli Esmah khan & Penniel.....





Mahakuli yaliyoandaliwa saawia na Mama Naseeb Bi Sandrah.....




Bi sandrah Akifungulia muda muafaka kabisa
 baada ya azana kuadhiniwa



Uncle Salu & Uncle Mikie A.k.a Never Shake Never Die...
ankali wake na Penniel Mngazija...








Mjomba wangu wa damu kabisa Mrisho Bukuku & Esmah Khan





Social Networks zinahusikaga sana mida hii ni kupata picha za matukio tofauti
Esmah khan,Penniel na Mjomba wake Penniel
 























Dish limepambika taratibu...



Hatari sana Sielewii hapa nimalizie wapi...





Kisula mwenye kiface chake sasa..mmoja wa team
 yangu inayokamilisha team nzima ya wasafi















Bi Sandrah Sammie kamanda mwenyewe.....na wifii ake Latifah
















Penniel na dada yangu Esmah Khan...wakipata mahanjumati yaliyoandaliwa
na Bi Sandrah....
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

5 comments:

  1. Diamond au Nassibu kwa kweli kwa mtazamo wangu Penny simjui ila kama ni mwanamke umempata toka uwe na Penny sijasikia skendo yeyote chafu mbaya inayomuhusu Penny tafadhali tafadhali usimuache hakikisha unamuoa pia nimempenda kitu kimoja kama haigizi anafanya kweli anaonekana kumpenda familia yako pia hiyo sifa ya pili kubwa.Jamani mbona mimi mdau wako mkubwa haujanialika kuja kufuturu haya Niwatakie swaumu njema katika mfungo mzima wa mwezi mtukufu wa Ramadhani

    ReplyDelete
  2. nimependa picture zote wang @wasafi classic all theyway from mwanza halla ramadhan kareem to all muslim

    ReplyDelete
  3. hey u inspired me by doing this bother,showing up ur real life wth ur family is big thing non of stars do that.i do admire this than any of ur staff.sharing a moment wth ur family and post to ur fans is gretest thing that i always gv u a credit.i think they shld follow ur steps.

    ReplyDelete