Recent Comments

JUSTIN BIEBER ATUMIA MAMILIONI KUBADILISHA RANGI YA GARI LAKE.....

Inafurahisha ila kwa upande mwingine inastahajabisha....Kweli hela
ukiwa nayo basi utataka kufanya jambo
lolote uliwezalo ukijua hela yaweza fanya....


Msanii aliechipukia kwenye miaka ya 2011 Hapa
 namzungumzia Justin Bieber msanii aliezinduliwa
kipaji chake na Msanii Usher Raymiond kupitia videoz za Youtube....
Hiki kimbwanga alichokifanya ni baada ya kutumia dola laki moja
 kubadilisha rangi ya gari lake
Audi kuwa na rangi ya Leopard, kwa kiswahili mnyama huyo anaitwa Duma.....
Amebadilisha rangi hiyo sasa yapata muda wa week 2 sasa kwa gharama
 za pesa za kitanzania
 milioni mia moja na 32 kwa hesabu za haraka......
Sasa unaweza kuona ni kitu kwake  kidogo lakini kisu hicho
kirefu kibongo bongo ni mradi tosha kwa mfanyabiashara wa aina
yoyote japo kwake msanii huyo anaona ni kitu cha kawaida
 cha kufurahisha nafsi....
Gari hilo linavyoonekana kwa picha ya juu....

Bierber akiwa mtanii akibaridhi na mkoko wake huo...
Ngozi ya mnyama huyu ndio iliyomvutia Justin Bierber
kubadilisha rangi ya gari yake kuwa sawa
na Mnyama huyu...

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment