Hapa nikiwasili Maeneo ya Posta Majira ya Jioni .....!! |
Nilikutana na Kaka yangu Banana Zorro nae alialikwa kutumbuiza kwenye hafla hiyo fupi.... |
Nikiwa nimepokwelewa na Kiongozi wa Uchumi Supermarket .... |
Kama Balozi wa Coca-Cola nikipokea maelekezo kutoka kwa kiongozi wa Uchumi super market... |
Kama unavyojua ni mfungo wa ramadhani...Ulikuwa umewadia muda na Azana imeadhiniwa so yakupasa kufungulia kwa kitu laini.... |
Kabla ya yote swala uhusika sana.... |
Nikiwa na mwakilishi kutoka coca cola |
Muda wa Kupata Iftar baada ya saa 12 za fungo.... |
Aya sasa....Mahanjumati taratibu... |
Lazima niwajuze watu wangu kupitia social Networks zangu wajue nini mtu wao wa kweli nafanya muda huu.. |
With My Special Assistance Qboy Msafii havin Iftar |
Hahaha hatari sana baada ya kuwaambia nipo zanzibar napata Iftar wakifunguka watu wangu... LOL nipo Bongoland sema mazingira tofauti na nyumbani kabisa... |
Aliambdulilahi.....Mwenyezi Mungu kufanikisha Futari hii |
Nikisaini Kitabu cha wageni cha Hotel Hii |
Nikitetea na Mkurugenzi wa Coca-Cola kwanza Tz Bw.Nalaka Hettiarachchi mambo mawili matatu juu ya kazi na kiujumla... |
BAADA YA KUFTURU NILIWEZA KUUNGANA NA WAGENI WAALIKWA KWENYE DHIFA HII FUPI YA MIAKA MIWILI YA UCHUMI |
B BAND(Banana zorro band wakitumbuza) |
Utu uzima dawa....Banana akisema na wageni waalikwa |
Meneja Muandamizi wa Uchumi Supermarket akitusalimu baada ya kuwasili |
Muda umekaribia kuisha Naseeb tukaswali Taraweei... |
Nikichonga jambo na Assistance wangu |
Gellly hando alikuwa ndio msema chochote(MC) |
Producer Mike Mbezi |
WAFANYAKAZI WA UCHUMI |
Wageni waalikwa na wadau wa Uchumi super market |
Mc akimkaribisha mkurugenzi wa Uchumi |
Banana Zorro akisikiliza kwa makini |
Msemaji wa Uchumi Supermarket akinikaribisha kama Balozi wa Coca-Cola kusema jambo na wageni waalikwa |
My time is over muda wa swala umewadia Loading 99.9% to Masjid Maaqbur |
Safi saaaaana Diamond umeenda kuwakilisha kama balozi wa coca tu hapa naona wamejua mwenzi huu uko makini sana ndiyo maana wakakuandalia futali na ukafuturu haukuvunja taratibu kabisa na bado ukawakalisha kama cacocola balozi wao,na ukawahi msikitini nimefurahia maana watu wanavyojua kuchonga wangesema siku hiyo alifungulia lakini umeonyesha msimamo kuwa mwezi mtukufu ni mwezi mtukufu hautaki mchezo .nikutakie kazi njema nimeona tangazo kuwa mnazindua Mziki gani inakuwaje na ni mwezi mtukufu?
ReplyDelete