| Nilipowasili hoteli ya Atriums nilikuta tayari wasanii wakongwe wa Bongo movie wakiwa wameshawasilii wakisubiri mkutano na waandishi wa habari... |
| Muongozaji wa Tamasha la Matumaini akizungumza na waandishi wa habari ...!! |
| Big Boss Jay B kigogo mtu mbaya along side Jacquline wolper......!! |
| Jacquline wolper akizungumza jambo...!! |
| Ray kigosi akizungumza juu ya mpambano wake na Mbunge wa Chadema Mhe.Zitto kabwe |
| Qboy Msafii wa akiwa na Jay B..!! |
| Baada ya shughuli nzima kukamilika ilikuwa ni safari ya mimi kuhamsha na kuelekea kwenye michakato mingine ya kimaisha....!! |
0 comments:
Post a Comment