Mwengi Ally Shem Lake akisababisha mambo jikoni..... |
Esmah Khan mwenyewe.... |
Recho kizungu zungu akishugulikia mahanjumati.... |
Dada zangu hao wawili wakishugulika......Watoto wa kimanyema |
Vyanda vyandani sasaaa.... |
Bi Sandrah akiweka sawa vitu...... |
Uncle Micky & Uncle Salu |
Story mbili,tatu zikiwa zimekolea huku muda wa kufturu ukisogea... |
Mucki akicheka mwenyewe baada ya Adhana kuadhiniwa.... |
Kisula nae...hadi muda wa futari we bado una bofya bofya tu...... |
Kutoka kushoto kwenda kulia ni AllyLuna,Dumi utamu, Rama Tonser,Emma Platnum,Qboy Msafi,Mucky wa Makomando, Uncle Salu & Uncle yake Penny,Mickie |
Qboy akiteta jambo kwa umakini kabisa na Mucki..... |
From Left,Uncle Salu,Penny & My Blood Cuzin Rommy Jones... |
bado dakika kadhaa tushuke ulingoni...hahaha |
Tukiwa tumekusanyika kwa pamoja tayari kupata Iftar |
Uncle Mickie,Never shake never Die....!! |
Hapana chezea MAHANJUMATI haya bhana yaliyopikwa yakapikika.... |
Time hii amna stori ni mikono na midomo inacheza tu stori baadae... |
Mwasiti nae alikuwepo....... |
Hamza Bala nae hakukosekana.... |
Weee sibanduki hapa kabisa ni kung'ata ng'ata tu..... |
Dumi mwenye utamu wake..... |
Darleen,Mwasiti & Recho... |
Penniel na Mama Naseeb.... |
Bi Sandrah akisema jambo na mabinti zake.... |
Taratibu watu wakifinya kuweka matumbo sawa baada ya masaa 12 ya fungo.... |
Njooo na wewe tujumuike ama niniii..? |
No comment
ReplyDeletemh ftari ilikuwa sio mchezo big up sukari ya warembo
ReplyDeleteHakuna kama kitu ambacho Mwenyezi mungu hufurahia na kukuongezea baraka pale ufikapo mwenyezi mtukufu ukajumuika na wenzio kwenye futuru kama hivi hata malaika wa mbingu hufurahia tendo hili,Mwenyezi mungu mwenye kuneemesha neema kubwa hama duniani nawe akakuneemeshe kwenye nyumba yk uchumba wako na kazi zako zote na wazazizi wako baraka zisikupungukie akuongezee kila itwapo leo Ramadhan karim
ReplyDeleteAsalaam namuona mdananda barakati
ReplyDeleteIko poa kijana swaumu njema
ReplyDeleteNice brw umefanya cha maana kweli,Mungu atakufunglia inshaalah
ReplyDeletenice broda!!
ReplyDelete