![]() |
![]() |
![]() |
| Jordan Special iliyotolewa kama kumbukumbu kwa Mfalme wa Pop duniani Marehemu Michael Jackson |
![]() |
![]() |
![]() |
| Msanii Lil wayne akisalimiana na Mcheza Kikapu Nash mguuni kwa akiwa ametupia Jordan IV nyekundu na Nash akiwa ametupia Jordan for Basketball... |
![]() |
| Kwenye moja ya nyimbo za msanii Lil wayne ameonekana akiisfia raba hiyo... |
![]() |
| Mwana Hip-Hop Wizy Khalifa akiwa kwenye Interview ya BET 106&PARK kwa chini akiwa ametupia Jordan sambamba na mtangazaji wa kipindi hiko terrence wa tatu kulia |
![]() |
| Mwana Hip-Hop Rick Ross na P.Diddy wakiwa kwenye mechi ya ligi ya NBA waangalie chini wakiwa wametupia raba hiyo |
![]() |
| Michael Jordan akiwa na Muigizaji wa Filamu za Home Alone amevalia Jordan miaka 94 na marehemu Michael Jackson |
![]() |
![]() |
![]() |
| Producer Nguli wa More Town Record Nchini Marekani Spike Lee akiwa amevaa kiatu aina ya Jordan |
![]() |
| Mwanamuziki nchini Marekani Wale toka MMG juzi kati aliweka picha hii kwenye mtandao wake wa Instagram akiwa ametupia kiatu hicho kikali... |















0 comments:
Post a Comment