Recent Comments

LICHA YA KUSTAAFU SOKA DAVID BECKHAM AZIDI KUPATA SHAVU

Hakika ukiwa na nyota ya Kung'aa basi daimanyota
 itawaka tu ili limeziilika kwa
mchezaji mpira huyu aliestaafu kucheza soka mwishoni
mwa msimu huu lakini
juzi kati tu hivi amepokea dili nono na shavu la
 kutosha kutangaza


nguo za ndani za kampuni ya nguo kutoka sweden
 ijulikanayo duniani
kama H&M...
H&M kirefu ni Hennes & Mauritz wabunifu toka nchi za
scandinavian wanaofanya
shuguli zao nchini Uingereza
katika kuboresha kazi zao na toleo lao jipya la nguo za ndani za kujistiri
kwa wanaume wamempa dili ilo mchezaji wa zamani wa timu ya
 taifa ya uingereza David
Beckham kutangaza kupitia matangazo ya picha na video nguo hizo uku
siri ikifichuka kuwa kapteni huyo wa zamani wa Manchester United\
amelamba kitita cha Pound za kiingereza milion 9 kuziweka kibindoni,
kisu kirefu sana kwa pesa ya kitanzania...!!
Je kampuni hii ilishindwa kumtafuta mchezaji huyu kipindi anacheza
 soka kutangaza matoleo ya
nyuma au? kwa upeo wa haraka nadhani ingekuwa bora zaidi
 au ni maswala ya mpunga
ungekuwa mrefu sana tofauti na sasa...lakini sio ya msingi
sana bahati inazidi kushamili
kwa wanamichezo wa majuu hii pia inawapa changamoto
 wanamichezo wa Afrika kuzidi
kufanya vizuri ili kucheza mpira kwa kiwango cha juu makampuni
tofauti tofauti kuwatafuta
kwa matangazo hata ubalozi wa muda mrefu...!!


Behind the scene wakati wa tangazo hilo la nguo hizo za ndani za H&M




Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment