Ni mwanzamuziki,mwanamitindo pia ni mama wa mtoto mmoja...Hapa namzungumzia mwanadada Beyonce Knowles...Mwanadada anaefanya vizuri kwenye muziki wa RNB nchini marekani na Duniani kijumla... Yapata miezi 6 sasa tangu ajifungue mtoto wake wa kike aliezaa na mwanamuziki mahiri wa muziki wa Hip-Hop Jay-Z,hivi karibuni baada ya kujifungua magazeti mengi ya mitindo ilikaa chini na kuanza kumjadili mwanadada huyu ambae aliongezeka kilo 22 kipindi cha ujauzito wake na kilo 11 baada ya kujifungua hadi kufikia makampuni mengine kuanza kuvuma kwa tetesi za kusitisha mikataba na yeye kutokana na kuzania Beyonce atokuwa na mvuto tena kutokana na kuongezek KILO 33 tangu akiwa na ujauzito hadi anajifungua..... Lakini hali imebadilika ghafla tu baada ya mwezi mmoja sasa Beyonce amerudi na mwonekano mpya kiasi kwamba amewashangaza ata wabunifu mbalimbali,amwezaje kupungua kwa haraka kiasi kwamba kupigania kazi zake..!! ANGALIA PICHA HIZI BEYONCE AKIPIGA PICHA ZA COVER LA GAZETI LA SURE...!!!
0 comments:
Post a Comment