Recent Comments

RONALDO ALAMBA DONGE NONO KUTANGAZA JEANS NA BOXER TOKA KWA MBUNIFU GIORGIO ARMANI

Kutoka Majuu uko Tunamwangazia Mchezaji Mpira Maarufu 
Duniani na mwenye Bei
ghali kuliko wachezaji mpira wote Duniani namzungumzia
 Cristiano Ronaldo mchezaji wa

Real Madrid ya Uhispania lakini hapa tunaangazia kwenye maswala
 ya yeye kujiingizia
pesa kama staa duniani.....Akiwa na umri wa miaka 24 Cristiano 
Ronaldo usiku wa Kuamkia 
juzi ameweza kumwaga wino wa Mkataba wa kupiga picha  na 
Mbunifu Giorgio Armani
mbunifu toka Italia wa kutangaza nguo za ndani kwa wanaume 
na suruali aina ya jeans 
za mbunifu huyo.....
Unajua hii imetokanaje!? kutokana na Ronaldo ni mchezaji 
maarufu na mzuri duniani
so ameamua kumtumia kutangaza biashara yake akijua fika 
shabiki yoyote wa Ronaldo
akiona Ronaldo anazitanga ni lazima atanunua yule shabiki
 wa Staa huyo duniani....

Giorgio Armani ameweza kumpa Ronaldo dola za kimarekani
 Milioni 20 kwa Kutangaza 
Nguo hiyo ya ndani na Jeans hiyo na hapa meamua kukuwekea
 picha hizi uweze kuona taswira ya 
kile nachokizungumzia....!1
Hongera kwa Staa huyo kuvuta mkwanja mwingi kwa kazi hiyo...!!
Boxer hizo na jeans hizo zitaanza kuwa kwenye store
mnamo tarehe 1.8.2013 kwa gharama ya boxer dola $98 na 
jeans kwa dola $240 sawa sawa na boxer kwa pesa taslimu ya
kitanzania itauzwa kwa 142,000/= na jeans itauzwa kwa
Tsh 366,000/=






Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment