Ukizungumzia kwa sasa Simu na vifaa vya umeme kama majiko,mapoozo na televishen hata vipulizo basi utaacha kusikia Jina la Samsung ukifika popote kwenye duka la vifaa vya aina hii..... Nimeamua kukuandalia habari hii niweze kukujuza zaidi kuhusiana na kampuni hii toka Hong Kong... Kwa Takribani miaka 4 sasa Samsung imekua ikijikimu kutengeneza vifaa vyenye thamani na ubora mkubwa lakini kwa mujibu wa Forbes,kwa sasa Samsung ndio kampuni inayoongoza kwenye sekta hiyo uku ikianziwa na Simu zake zinazouza bei ghali dunia na zenye ubora wa hali ya juu,mapoozo,vipulizo,majiko na hata televisheni..... Lakini Kwa upande wa leo nakuchambulia kwenye sekta ya Simu za mkononi..... Kwa sasa Duniani samsung wapo kwenye vita kubwa ya kibiashara na kampuni ya Apple wanayotoa simu aina za Iphone ambazo nazo zipo juu hadi sasa,lakini kwa mujibu wa Phone.com inasemekana Tokea toleo la Iphone 5 na Galaxy s3 Samsung wameuza zaidi ya simu kwa wateja milioni 722 huku Iphone ikiuza simu milion 431 dunia hadi sasa kwa chati hii unaweza kuona kabisa Samsung kupitia simu za Galaxy s3 wameweza kufanya kitu ndani ya kampuni hii inayoshikiliwa na ndugu watatu kutoka Hong-Kong......Huku wakati Iphone wakizindua Iphone 5 iliuzwa kwa mara ya kwanza kwa Tajiri nchini marekani kwa gharama za Dola $88,000/= wakati samsung wakitoa Galaxy s3 ilinunuliwa kwa mara ya kwanza dola $121,000/= ikiwa imenakishiwa na Dhahabu na almasi pembeni....!! Hapo nadhani kiundani kidogo unaweza ukajua ni kwanini ndani ya mwaka 2012-2013 Samsung wamweza kufanya vizuri kwenye maswala ya vifaa vya umeme vya ndani ya nyumba na nyenzo nyingine.......!!
0 comments:
Post a Comment