| Kuanzia ndani shuguli nzima ilianzia..... |
| Zamaradi akitangaza nje ya Nyumba ..... |
| Nikiwakaribisha wageni wangu toka Take one na crew nzima ya Clouds Tv... |
| Mahojiano yalianzia nje na Zamaradi.... |
| Baada ya kufturisha mimi na familia yangu kwa ujumla tuliweza kukaa chini na kufanya mahojiano na zamaradi mketema...... |
| Rommy Jones akizungumza jambo ..... |
| Mama yangu alishindwa kuzungumza lolote kwa wakati ule...... |
| Nikizungumza kwa Niaba ya Familia..... |
| Aunt Tahiya mtoto wa dada yangu akisoma Dua kutufungia zoezi zima la mahojiano na Zamaradi... |
| Asante mungu kwa siku ya leo........... |
0 comments:
Post a Comment