KUNA WATU WAMEKUWA WAKITUMIA
MITANDAO YA KIJAMII VIBAYA KWA
KUTENGENEZA ACOUNT FAKE WAKITUMIA
MAJINA YA MASTAA MBALIMBALI NCHINI
NA WENGI WAKIFANYA MAMBO AMBAYO KWA KIASI KIKUBWA
YANASHUSHA HADHI NA STATUS YA
WATU,KUPOST TAARIFA ZISIZO NA UKWELI N.K,NA MIM NIKIWA
NI MMOJA YA WASANII AMBAO MAJINA
YETU YANATUMIWA SANA NA WATU KUTENGENEZA
ACOUNT FAKE,NIMEANZISHA ZOEZI LA
KUWEKA WAZI ACOUNT ZOTE AMBAZO NI FAKE NA SIYO ZA
DIAMOND HALISI NA NINAFUATILIA TARATIBU ZA KISHERIA
ILI KUWABAINI NA KUWAWAJIBISHA WALE WOTE WANAOTUMIA JINA LA DIAMOND PASIPO IDHINI YANGUKWA LEO NAANZA NA MTU ANAEJIITA
Diamond Platnumz Swaqq,UKIKUTANA NA
ACOUNT HII IEPUKE,SIYO DIAMOND HALISI...PIA KWA YULE ANAYEHITAJI
MAWASILIANO NAMI YA KIBIASHARA
USITUMIE FACEBOOK MANAN
NYINGI NI FAKE,WASILIANA NAMI KUPITIA EMAIL YANGU YA ..diamondplatnumz@gmail.com AHSANTENI

shukrani kaka kwa maana hata mie nimekuwa na shinda hilo,kila mara ninapowasiliana nawe napata majibu kadri ya fikira zako,hadi nafika kushanga huyu sio wewe kamwe..fanya hima tupe account zote fake,mie nakuunga mkono kabisa kaka..watu wajifunze kujitafutia kwa uhalali
ReplyDeleteakili yako inafanya kazi vizuri poa sn
ReplyDeletepamoja sana
ReplyDeletesafi Doamond kwa kweli mimi mwenyewe nilikuwa nashangaaa wewe kama wewe una acc ngapi ,umefanya vizuri utawasaidia hata na wengine watu wamezoea kuwachafua wasaniii acheni mchezo huo mchafu.wasanii wetu tunawapenda kama Diamond anavyotuwakilisha nchi mbali mbali sifa zote zinakuja Tanzania.sasa tusiwachafue wasaniiiiii
ReplyDelete