Kwa wapenzi wa filamu toka Hollywood nimeamua kukuwekea Trailer hii ucheki filamu hiiiliyotoka miaka ya 1992 ya White Man Can't Jump,kiundani mimi imenifurahisha sana na nimeipenda nimeamua kukuwekea na wewe uione alafu dondoka na Comment yako, nakutakia mchana mwema..!
hahaha, kali
ReplyDelete