
Uchaguzi wa Zimbabwe umekamilika. Rais Mugabe mwenye umri wa miaka 89
ameendelea kuiongoza Zimbabwe baada ya ushindi wa zaidi ya 60%. Chama
chake cha ZANU-PF kimepata viti zaidi ya 140 kati ya 210. Hii inaonesha kuwa
two third majority bungeni.
![]() |
| Morgan Tsvangirai |
Ni ushindi mkubwa sana kwa Mugabe na ni anguko kuu kwa
Mpinzani mkuu wa Bwana Mugabe, Morgan Tsvangirai, mwenye umri w
a miaka 61, amekataa
matokeo na amesema atapeleka malalamiko mahakamani.
Viongozi wa mataifa ya magharibi yamesema yana wasi-wasi
kama uchaguzi ulikuwa wa halali.

0 comments:
Post a Comment