Recent Comments

NEW VIDEO:YOUNG DEE-KIJUKUU (OFFICIAL VIDEO) ICHEKI HAPA


Nadhani hii itakuwa kwa mtoko mwingine kabisa,
Young Dee official video yake hii hapa.

Baada ya kufanyiwa kazi na director anaekuja 
kwa kasi kwenye muziki wa Bongo kwenye maswala
ya Music Productior hapa namzungumzia Nisher 
toka Arusha Town...Kuwa wa kwanza kuicheki hapa
na kufurahia kideo kipya toka kwa Young Dee...
Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment