Lil Twist kutoka Young Money anaweza akaingia matatani tena kutokana na mikasa ya ajabu ajabu yanayomkuta baada ya kumaliza na mkasa wa kulewa sana na kuendesha gari na besti wake Justin Bieber siku ya jana majira ya saa tisa yalimkuta maswaibu haya baada ya kufika nyumbani kwa Bieber na kumkuta Mwanadada aliekuwa kwa msanii huyo akitoka na kumzuia na kuanza kumvuta nywele asiondoke aendele kwepo mjengoni pale.... Lakini baada ya mwanadada yule kukata na kusepa alienda moja kwa moja polisi na kushitaki kosa hilo.......Je hili laweza kuwa tatizo kwake kwa kijana huyu aliye chini ya Leno ya baba yake Birdman. Young Money....... HABARI KWA MUJIBU WA TMZ
0 comments:
Post a Comment