Mwanadada na Mama wa mtoto mmoja,Beyonce masaa machache yaliyopita aliwaacha mashabiki zake duniani midomo wazi baada ya kuachia picha hizi kwenye mtandao wake wa Instagram akiwa na muonekano mpya wa nywele......akiwa anaoekana amekataa nywele zake ndefu na kubakia na nywele fupi kabisa.... Maelfu ya mashabiki waliomfata kwenye mtandao huo walionekana kushanga kutokana na mwanamuziki huyo alionekana mrembo zaidi na nywele zile alizozitunza zaidi ya miaka 16 hadi hvi leo.... Wachambuzi wa maswala ya nywele wanasema labda uamuzi huu umekuja kwa Beyonce baada ya mkasa ulomkuta wikii 2 zilizopita baada ya msanii huyo kuwepo kwenye tamasha na nywele zake kuingia kwenye feni ya kipepeo na kunasa kwa takribani dakika 10 mpaka alipopata msaada zaidi toka kwa wahusika...... Kama shabiki wa Beyonce we unasemaje kutokana na mwonekano huu...je bado she looks wooow au.....?? Tizama picha hizi jujionee mwenyewe:
Hivi ndivyo alikuwa aonekanavyo mwanamzuki huyu kabla ya kukata nywele zake...
0 comments:
Post a Comment