Recent Comments

NEWS:FAMILIA YA MALKIA WA UINGEREZA YAONEKANA KWA MARA YA KWANZA TOKA KUJIFUNGUA KWA MKE WA PRINCE WILLIAM

PrinceWilliam ni Mjukuu wa Malkia wa
 Uingereza Queen Elizabeth.
Prince william mnao mwezi wa sita mkewe Kate
Middleton alijifungua mtoto wa kiume
lakini aikuwahi kuonekana kwa picha za mtoto
huyo anafananaje lakini cha kushangaza
majarida mengi ayalikuwa yanatuma ofa za
kununua Interview ya Kate na William
cha ajabu jana kupitia mtandao wao wa Twitter
waliweka picha wakiwa na mtoto wao
wakionekana wakiwa na furaha tele uku
wakiwa wamewaacha midomo wazi
majarida yaliyokuwa yakisubiria picha
za haki miliki ya familia hiyo.

Doooh dzaini kama waliona haitajiki kuwepo
 kwa usiri wa aina yake,imekuwa kama fashion
kwa matajiri hata mastaa duniani pindi wanapokuwa
wajawazito wakisubiri kujifungua ugeuza
mimba zao na uzazi kuwa hela kutokana na
shauku ya watu kuwa nayo kujua zaidi
mwonekano wa mtoto kama tunavyoshuudia kwa
Staa Kanye west na mpenzi wake Kim
kardashian hadi sasa awajaachia picha za mtoto wao North west.


Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment