Recent Comments

NEWS:FLAVIANA MATATA AINGIA FORBES AFRICA HOTTEST MODEL

Neema yazidi kushamiri kwenye Taifa la Tanzania lakini kwa upande huu neema
imezidi kushamiri kwenye mitindo hapa namuangzaia mwanamitindo Flaviana

matata kutoka nchi kwetu baada ya uchunguzi uliofanywa na FORBES
na kwa mara ya kwanza kutoka Tanzania na East Africa Mwanadada huyo
mwenye miaka 26 amewekwa kwenye FORBES ya wanamitindo
wanaofanya vizuri.......
List hiyo inayoongozwa na mwanamitindo mdogo kutoka
 Angola anaeshiuka nafasi 
ya kwanza mwenye miaka 21 ''Maria Borges'' 
FORBES AFRICA magazine 
ambalo limetoka August 1 wengine ambao wapo kwenye nafasi 
ya karibu kushika nafasi
ya kwanza ya hotest model ambao ni Ajak Deng(SUDAN),
 Grce Bol(SUDAN), Candice
Swanepoel(SOUTH AFRICA), Liya Kebede(ETHIOPIA), Katryn 
Kruger (SOUTH AFRICA) 
na Mshiriki wa  Miss Universe kutoka Tanzania 
Flaviana Matata....

Pongezi kwake Flaviana Matata kwa kuendelea kufanya 
vizuri na kupeperusha vizuri
Bendera ya Tanzania Kimataifa......

Share on Google Plus

About Wasafi

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment